11 March 2013

Mdau afunguka juu ya TFF na maendeleo ya soka nchini Tanzania

Mhe rais wa tanzania jakaya mrisho kikwete asante sana kwa mengi ulioifanyia TFF ukiwa kama mdau wa michezo .yote yanayotokea sasa tatizo ni TENGA. Anataka kufata walivyochanguana CUF juzi kura za ndiyo tu ,mimi nataka kujua TFF kuna nini mbona mpira mabadiliko atuyaoni kuna kitu TFF mpaka TENGA na watu wake mapovu yanawatoka ,Mheshimiwa rais naomba kocha
kwa timu ya wanawake tu TENGA aende FIFA akawambie wamlipie kocha si ndiko anakokimbilia ndiko kwenye serikali yake.mhe rais picha hii TENGA inampa jeuri sana.Je wewe msomaji kama ukiwa ni mpenzi wa michezo na hasa kabumbu unalitazama vipi swala hili tia maoni au ungana na bwana Ezekiel Clement kwenye sura ya kitabu ili tuelimishane.

No comments: