22 March 2011

VIDEO MPYA YA JUNYMAN TOKA M2S

Kwa wale wanaokumbuka habari za msanii huyu ambaye ali shoot video hii pale london nakutupa picha za shooting yake leo hii video imekamilika na kwa hisani ya M2S(monsterz to society)group la ukweli nawaletea video hiyo ambayo imebeba jina la msanii huyo katika nyimbo inayoitwa  JUNY

No comments: